Moyo Mpweke"

Jamani asanteni sana. Natanga kuwa nimempata niliomtaka...hili zoez limeishia hapa..asante kwa wote mliokuja PM but nimemchagua mmoja tu. Asanteni
 
hahahaaa nimecheka sana Mkuu Mara hii umeshamridhia? daah kila la kheri
 
Huyo muuzaji sasa ameshapata wateja wa kudumu. Ndiyo maana alitarget kipato! Angalia umri wake na umri wa anaowatafuta.
Au hujui ktk ile biashara yetu umri huo ndo wateja wazuri wasiosumbua ktk malipo .
 
Haha hilo nalo neno..lol
 
heheh
hehhehehhehe nadhan lugha sahihi ilipasw akua "SPOMSOR" ANAHTAJIKA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…