ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 220
- Thread starter
-
- #21
Na huyo unayemtafuta akupunguzie stress awe mwanaume mwenzio au mwanamke? Uliberali umeshika kasi sana siku hizi.
kabaka mwanajf mwenzie?
napenda kuogelea
mwenza sina,marafiki nliokuwa nao weng wana maisha yao sahv kwaio wananipotezea kwakuwa sina kitu!,
here we go again, crying babies.
Jaribu kutafuta marafiki hata hapa JF mbona kuna watu wapo poa sana tu...Jichanganye my dia...Usijipe stress maisha yenyewe mafupi....enjoy it while it lasts....
niko poa mpendwa....sawa anaweza kuwa rafiki yangu hakuna tatizo!!!tutakutana kule baadae!Ukiwa miongon mwa rafiki zake itapendeza sana. Vip lakini mzima weye? Siku hizi umeadimika kule
ujue 'Valentina' hata na mimi nataka niende, sjui ni njia hii? Eti mimi49 njia ni ipi tena?
Subiri ntakuelekeza!!ujue 'Valentina' hata na mimi nataka niende, sjui ni njia hii? Eti mimi49 njia ni ipi tena?
uko wapi?? :eyeroll1::eyeroll1:Subiri ntakuelekeza!!
siogi lakiniTehe tehe...jiandae tutakupitia
Mhhh mbona umefura ka umelishwa hamira??uko wapi?? :eyeroll1::eyeroll1:
here we go again, crying babies.