Moyo mpweke

Kama stress zinakusumbua sana soma bibilia au sikiliza nyimbo uzipendazo.
 
Pole kwa upweke keep ua self busy with what u like u can also have fun with friends
 
Samahani ndugu yangu hivi una marafiki hata wakujichanganya nao?Nahisi upweke unakusumbua sana....Una mwenza?I am worried abt you japo sikujui!!!
 
Samahani ndugu yangu hivi una marafiki hata wakujichanganya nao?Nahisi upweke unakusumbua sana....Una mwenza?I am worried abt you japo sikujui!!!

mwenza sina,marafiki nliokuwa nao weng wana maisha yao sahv kwaio wananipotezea kwakuwa sina kitu!,
 
Jamani mwenye upweke na stress kama mimi karibu tuliwazane,unaruhusiwa ku PM,Ila angalizo mimi ni mwanaume

Na huyo unayemtafuta akupunguzie stress awe mwanaume mwenzio au mwanamke? Uliberali umeshika kasi sana siku hizi.
 
mwenza sina,marafiki nliokuwa nao weng wana maisha yao sahv kwaio wananipotezea kwakuwa sina kitu!,
Jaribu kutafuta marafiki hata hapa JF mbona kuna watu wapo poa sana tu...Jichanganye my dia...Usijipe stress maisha yenyewe mafupi....enjoy it while it lasts....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…