Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
Kwa mfano una movies gani? inawezekana ulizo nazo wewe nami ninazo.Habari, kwa yoyote mpenda movies aliepo Zanzibar hasa town hapa Na ana movies Na unahitaji nyingine kama Mimi,
Tunaweza wasiliana tuonane Na kubadilishana movies series Na mambo kama hayo.
Binafsi nipo Na movies kama 400, hivi
Mawasiliano yangu ni:
0716403314
0625885424
Unataka nizitaje zote Mkuu!?Kwa mfano una movies gani? inawezekana ulizo nazo wewe nami ninazo.
Basi nitakutafuta nami ninazo kadhaa na nipo hapa zenji.Unataka nizitaje zote Mkuu!?
Adhabu hiyo.
Mbona kimya nduguBasi nitakutafuta nami ninazo kadhaa na nipo hapa zenji.
sio kimya nilikuwa Dar mishemishe nyingi ndio nimeingia ofisini saa hizi . nitumie no yako inbox tupange.Mbona kimya ndugu
Mkuu bado upo au umepotea, thread imelala.Habari, kwa yoyote mpenda movies aliepo Zanzibar hasa town hapa Na ana movies Na unahitaji nyingine kama Mimi,
Tunaweza wasiliana tuonane Na kubadilishana movies series Na mambo kama hayo.
Binafsi nipo Na movies kama 400, hivi
Mawasiliano yangu ni:
0716403314
0625885424
Namba ndo hizo hapo kakaMkuu bado upo au umepotea, thread imelala.
Nina movie kibao kama vp uje uchague zinazokufaa, nami nichagueNamba ndo hizo hapo kaka
Tunaonanaje Sasa,!?Nina movie kibao kama vp uje uchague zinazokufaa, nami nichague
Mi napatikana gomzTunaonanaje Sasa,!?
Sijakuelewa,Mi napatikana gomz
Ok, kumbe ukoZenji? PoaHabari, kwa yoyote mpenda movies aliepo Zanzibar hasa town hapa Na ana movies Na unahitaji nyingine kama Mimi,
Tunaweza wasiliana tuonane Na kubadilishana movies series Na mambo kama hayo.
Binafsi nipo Na movies kama 400, hivi
Mawasiliano yangu ni:
0716403314
0625885424