Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
Mwanadada mmoja alikuwa na tatizo flani yaani anashindwa kujicontrol kwahiyo mpaka aipige shoti yaani kuna kifaa kimeunganishws kutoka kwenye mgongo kwahiyo akihisi awezi jikontrol anabofya kitufe anajituliza tofajti na hapo hataleta vurugu la kumfa mtu
Huyu dada ni trained kwenye karate na michezo yote ya ngumi na pia ni bouncer [emoji41]sasa dr munchin anamkutanisha na justin manzi anafall in love lakini anawaza anaweza muua mshikaji kitandani Binti kapelekewa na kavuliws electrode vesse yake ( hii inampa short ili ailete vurugu ) penzi linamfanya apone ugonjwa wake Baada ya Mechi kuisha Kesho asubuhi binti anasikia justin kafa binti anaingia mzigoni kumtafuta muuaji anakuja kugundua
Kumbe aliandaliwa mchezo mpango tokea mwanzo DAMN [emoji44][emoji44][emoji44] ...
Kama unapenda Action hii movie inakufaa
rate 8/10 Lindy nimekuvulia Mkanda [emoji1696]