Movie scenes before & after special effects

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,545
Reaction score
3,370
Alice in Wonderland




Avatar





The Avengers




Boardwalk Empire




Captain America




Game of Thrones




Deadly Honeymoon




Gravity





Grey’s Anatomy




Iron Man





Man of Steel





 

Attachments

  • movies-before-after-green-screen-cgi-hobbit.jpg
    41.3 KB · Views: 68
Wenzetu wapo mbali sana kwenye masuala ya teknolojia,leo hii hapa bongo ukimuuliza msanii wa movie kama Ray Kigosi nini maana ya "Green-screen"huenda hata hajui....,kuna mzee mmoja ana exposure ya nje ya nchi,nilipata nafasi kupiga nae stori akawa ananiambia,haya maisha tunayoishi leo Tanzania kwa maana ya changamoto tunazoziona leo mfano barabara za Fly-overs,madaraja kama ya Kigamboni,Mabasi ya mwendokasi,barabara mbovu,umeme kukatika,watu kuombaomba,maji kukatika,foleni zisizo na maana,mtu kufa coz huna pesa ya matibabu,kupanga foleni benki,vipanya kubeba abiria,n.k unaambiwa wao wamarekani walipita zama hizo miaka 100 nyuma iliyopita,nikawaza sikupata jibu....Turudi kwenye maada kwa anaejua atupe uelewa kidogo matekinolojia yatumikayo kwenye movies,insu za ma Green-screen,ma CGI na mengineyo!
 
Daah! Hawa wazungu ni hatari sana kwa kweli
 
motion capture,
cgi,green screen, visual effect, blue screen, tanzania kuna kampuni moja tu ipo arusha ambayo inatengeneza animation kwa kutumia vifaa vya kisasa
 
Kumbe movie nzima wanaigizia ndani halafu wanazuga wako kwenye mapori na maporomoko ya ajabu.
 
Kumbe movie nzima wanaigizia ndani halafu wanazuga wako kwenye mapori na maporomoko ya ajabu.
Kumbe ww ulikuwa unaamini? Kuna zingine wanaenda zingine hawaendi. Angalia behind the scene ya king kong ndiyo utaamini wazungu siyo binadamu bali binadamu ni sisi wafrika.
Ndiyo maana ukitaka kujifunza mengi search in english language.
 
Ukimuona mwambie akusimulie ya Florida!..
 
Titanic ndo nilionaga nikasema wazungu acha tu wakae sisi tunatengeneza movie Kwa week moja tutegemee tutoekitu chakueleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…