Sawa mkuu.Ichambue sasa tujue inaelezea nini
Ila kuna mijamaa haizibi macho inawaangalia hao viumbe lakini hawajidhuru wanawatafuta watu na wakulazimisha kuangalia wenyewe wanadai ni viumbe wazuri kuwatizama.Kwa waliotazama naomba mje hapa tuichambue. Maana nimepitia reviews huko nje wapo watu wameiponda sana japo mimi nimeiona imetulia.
Lengo la hii movie ni kutisha na kusisimua. Kwa kiasi fulani inatia mchecheto.
Wanaoikosoa wanasema imeiga idea ya ile movie ya A Quit Place na Blind nini sijui. Hata hivyo wamempongeza Malorie kwa kuicheza vizuri na kuvaa uhusika. Yaani ameibeba movie!
Wengine wanasema ukisoma kitabu chake unafurahia zaidi..
Wale ndio nilishindwa kuelewa... Ni kama madish fulani hivi.. Yaani hao viumbe walikuwa na mawakala wao ambao ni mwezi mchanga!Ila kuna mijamaa haizibi macho inawaangalia hao viumbe lakini hawajidhuru wanawatafuta watu na wakulazimisha kuangalia wenyewe wanadai ni viumbe wazuri kuwatizama.
Wale sio wazima hata mie sijawaelewa,yule mdada bonge mwenye mimba huruma yake ndio imeponza na wenzie wote.Wale ndio nilishindwa kuelewa... Ni kama madish fulani hivi.. Yaani hao viumbe walikuwa na mawakala wao ambao ni mwezi mchanga!
Yule dish! Eti alipatwa na huruma kisa hata yeye ilishamtokea kuwa mlangoni akiomba msaada wa kufunguliwa.. So she knew how it felt!Wale sio wazima hata mie sijawaelewa,yule mdada bonge mwenye mimba huruma yake ndio imeponza na wenzie wote.
ni nzuri kiasi niliicheki mwanzoni mwaka huu. ila wajawazito walikuwa hawadhurikiYule dish! Eti alipatwa na huruma kisa hata yeye ilishamtokea kuwa mlangoni akiomba msaada wa kufunguliwa.. So she knew how it felt!