Movie kali ya weekend

Movie kali ya weekend

Screenshot_20250413_214726_Chrome.jpg
 
Kama unapenda horror movies ziko kibao tu, nitakuhajia ukitaka, hii scream ilianza miaka ya nyuma ya kwanza kabisa iliitwa scary movie ya wale kina sydney… nimeangalia nikiwa primary miaka ya nyuma, kiukweli ni tamu, wanafyekana mapanga si mchezo😅
Ngoja nitulie na hizi , naomba uwanja wetu uwe hapa , nikimalizia hii nakusimulia 😆
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom