...huu mzigo nautafuta sana,mwenye link naeza pata atupie wakuu...
Nimekugongea like, naomba nyingine za namna hii mkuu.Series ya Jackbauer 24 live another day
Mkuu zipi hizo? Mbona kama amemaliZa. Imeishia episode 12 jack amejikabidhi kwa warusi? Au sio ya mwisho hiyo?Shusha Hapa: https://eztv.it/shows/1/24/, Nasubiri episode mbili za mwisho. Enjoy.
Kama kuna movie yenye mafunzo. Basi ni East of Eden ni mwisho wa mchezo. Wakorea ni nyoko
1. I frankenstein
2. Dracula Untold (
3. The Maze Runner
4. Lucy ( science Friction)
5. Teenage Mutant Ninja Turtles
6. Maleficent
7. Hercules
8. The November Man
9. chines zodiac(2012)
10. The Equalizer1. I frankenstein
2. Dracula Untold (
3. The Maze Runner
4. Lucy ( science Friction)
5. Teenage Mutant Ninja Turtles
6. Maleficent
7. Hercules
8. The November Man
9. chines zodiac(2012)