MOVIE: Idris Sultan ndani Netflix "Slay" - Usikose!

IMG_0190.jpg

Sema hiki kipande kinaniacha hoi...congratulations kwa idris kapiga steps kinomaa
 
Mkuu nimeicheki Jana movie iko poa sana na mtanzania mwenzetu kapata nafasi kubwa tu obvious ni miongoni mwa main character wa movie hii nimefurahi sana na ameitendea haki nafasi aliyocheza
Big Up.
 
Back
Top Bottom