Movie hii itatoka hivi karibuni

Movie hii itatoka hivi karibuni

LJ BLOG

Senior Member
Joined
Jul 24, 2011
Posts
194
Reaction score
154
never%2Bgive%2Bup.jpg
 
Asante kwa taarifa nitamnunulia housegirl wangu ndiye anayeangaliga
 
haaaaaaaa kaka hizo ni kwa ajir ya vibanda vya kuoneshea video me sina mda huo
 
Yani movie hii ndo inatoka leo?? Hadi tushasahau kwamba Van alikuja bongo..
 
watanzania bwana, embu jaribu kuthamini vya kwenu! ntaitafuta ikitoka.
 
watanzania bwana, embu jaribu kuthamini vya kwenu! ntaitafuta ikitoka.

tatizo hazipendeki, mbona mziki wetu tumefanikiwa kuukubali kwa asilimia 100, why not muvi? shida sio sisi shida ni wao wenyewe yani hazistaili hata kuitwa muvi sijui wanafanya vitu gani
 
Haya ni maigizo tu kutengeneza movie si kitu cha miezi 2 bongo bado sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom