Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,079
- 4,893
Tunatakiwa kumsaidia Rais, nyuma yake kuna Wahafidhina, walewale waliomgeuza Kikwete akaachilia mbali nia yake njema ya kuleta Katiba mpya.Hakika Rais Mstaafu JAKAYA KIKWETE pamoja na kuwa NDOTO yake ya KUWAPATIA WATANZANIA KATIBA MPYA Haikutimia Bado Ataendelea kuwa BABA wa KATIBA Aliyethubutu Kutupatia KATIBA MPYA....
Tunatakiwa kumsaidia Rais, nyuma yake kuna Wahafidhina, walewale waliomgeuza Kikwete akaachilia mbali nia yake njema ya kuleta Katiba mpya.
Pia ni fundisho kwetu watanzania. Tunapenda vya bure. Katiba mpya kwa Kenya ilikuwa matokeo ya mapambano makali. Tunatakiwa kutambua kwamba CCM hawawezi kukubali kuondoka kwenye chama dola bila mapambano
Hao ndiyo wenye nchi kwa Sasa. Wanaotamani katiba mpya ni wale wanaccm waliodukuwa mazungumzo ya wazee wakati wa mwendazake...hata wana-ccm waliodhalilishwa na kudukuliwa kipindi cha mwendazake nao hawataki katiba mpya?
Hao ndiyo wenye nchi kwa Sasa. Wanaotamani katiba mpya ni wale wanaccm waliodukuwa mazungumzo ya wazee wakati wa mwendazake.
Hapo Sasa. Kutesa kwa zamu. Wao walitesa Sasa wanateswa...Nasikia wanamuombea Mama kifo.
..kwasababu wenzao waliomba na ikatokea na wenyewe wanadhani maombi yao yatatiki.
Hapo kinachokwepwa ni kuporomoka kwa Muungano. Hakuna Rais atakayekubali Muungano uvunjikie kwake so hizo danadana tutegemee kuziona Sana tu. Wacheni tujenge uchumi kwanza.Hakika Rais Mstaafu JAKAYA KIKWETE pamoja na kuwa NDOTO yake ya KUWAPATIA WATANZANIA KATIBA MPYA Haikutimia Bado Ataendelea kuwa BABA wa KATIBA Aliyethubutu Kutupatia KATIBA MPYA.
Mwaka 2015 Wakati wa UCHAGUZI MKUU Chama cha CCM Katika ILANI yake Ilisema Itakamilisha Upatikanaji wa KATIBA MPYA.
Baada ya MAGUFULI kushinda Kiti cha URAIS alianza KUGEUKA na Kudai Sio Kipau Mbele cha Serikali na KUDAI ANAJENGA UCHUMI.
Baada ya KIFO cha MAGUFULI Mh Rais SAMIA Amechukua UONGOZI wa NCHI.Jana Wakati Anaongea na Waandishi wa Habari Rais SAMIA Anadai Eti kwanza AJENGE UCHUMI sababu zile zile za MAGUFULI.Watanzania tunajiuliza Kwanini AWAMU ya 5 Imekuwa na Sababu Dhaifu juu ya KATIBA MPYA?
Mbona JAKAYA KIKWETE Alianzisha Mchakato Bila SABABU za UCHUMI?
Mbona KATIBA iliyopo ya 1977 UCHUMI wetu Ulikuwa Chini sana lakini KATIBA ilipatikana?
Suala la UCHUMI Kuujenga ni Suala la KILA SIKU hivyo Kusingizia TUNAJENGA UCHUMI ni Sababu DHAIFU SANA.WATANZANIA Tumekwishaambiwa ni NCHI ya UCHUMI wa KATI
WANANCHI TUNATAKA KATIBA MPYA HATUTAKI SABABU DHAIFU
msaada katiba kwa ujumla inasemaje kuhusu mikutano ya kisiasa nje ya kampeni!!!!Hivi we unadhani muda gani unamtosha rais wetu kupewa? Kwa upande wa mikutano ya kisiasa mama kakosea, yeye alipaswa kuhimiza sheria na katiba zifuatwe ndo kiapo chake
Mkuu kwani tunawahi wapi tumekaa miaka 5 hakuna mikutano ya siasa huyu kaomba muda na atatuita tukae nae tuone namna ya kuyafanya haya tunaanza kumtisha
Katiba inatoa uhuru wa kufanya mikutano ya hadharamsaada katiba kwa ujumla inasemaje kuhusu mikutano ya kisiasa nje ya kampeni!!!!
maana mama anasema ya ndani rukhsa.
nataka nukuu hapa ya kifungu,nijue mama analaumiwa kwa lipi.Katiba inatoa uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara
Kaa kimya kama huna akili. Siasa siyo hisani ya samia ni haki ya kila raia. Ccm haiwezi kujichinja yenyewe lazima ichinjwe. Unakumbuka uchafuzi wa wa mwaka jan! Ccm walitangazana tu kushinda hata bila kushinda.Ndio, Hawa jamaa Mimi siwaelewi wanataka nini. Mama kaingia juzi tu ikulu amesema suala la katiba mpya tumpe muda kwann tusimpe huo muda anaotaka tungemuuliza tu unataka tukupe muda gani
Ni kweli katiba yetu ya sasa ina mapungufu kibao na ni zao la ccm lkn mama anakutana na makundi mbali mbali muda wa vyama vya siasa bado tungesubiri siku ya kukutana nae tuongee nae tumweleze wapi tulipokwama na ili twende mbele tuanzie wapi badala yake mnamtisha eti tutamnyoa kama tulivomnyoa mwenda zake mmmh hii Ni hatari