Movement SAMIA waivaa BAWACHA

Tanzania ya Watanzania

Senior Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
146
Reaction score
104
Kiongozi wa Vugu Vugu la DKT SAMIA almaarufu kama MOVEMENT SAMIA CDE Mwigulu Shigela amekemea vikali wa Mama wa CHADEMA almaarufu kama BAWACHA kwa kitendo chao cha kuteketeza kanga zilizokuwa na nembo ya picha ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Your browser is not able to display this video.

Msikilize mpaka mwisho
 
BAWACHA wengi ni madem za Mbowe kama unabisha nitajie mmoja nikutoe wasiwasi
 
Mimi nampenda Samia.
Ila wewe SIO mzalendo.
 
Huyu Shigela apewe UVCCM mkoa wa Singida kwa faida ya mkoa na Taifa
 
Vikundi vya kipumbavu kama hiki ndiyo vinahusika na kuteka na kuumiza viongozi wa Chadema hawa nim magaidi kabisa
 
Nchi hii ilipata kuongozwa na Mwanaume Magufuli..
Mama kawa mpole mpaka kazidi yaani zawadi ya raisi inachomwa hadhara na unawaacha watu Kama hao wasio na heshma na adabu kweli?
Mbona enzi za Magu hawakuwa wanafungua mdomo hivi?
Rais Ni kweli Hawa watu wachache wanaotaka kuharibu heshma ako unawaacha namna hii!
Hao walitakiwa wale kipigo Cha maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…