Hakuna uhusiano wowote isipokuwa soda zote zina athari katika mwili, athari si nguvu za kiume tu kama unavofikilia maana vijana wa siku hizi mnawazaga ngono asubuhi mpaka usiku na mnaamka mnawaza ngonoMwenye ufahamu anisaidie, je kuna uhusiano wowote kati ya mountain dew na upunguaji wa nguvu za kiume kwa mnywaji?