D DAVIES JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 516 Reaction score 90 Aug 26, 2012 #1 jamani nina simu aina ya motorola droid pro xt610 ilikuwa inatumika usa sasa tatizo ina lock nimeipeleka kariakoo wababaishaji naombeni yeyote anayejua mtaalamu atakaye weza ku unlock anisaidie ikiwezekana na contact zake kabisa jamani msaada
jamani nina simu aina ya motorola droid pro xt610 ilikuwa inatumika usa sasa tatizo ina lock nimeipeleka kariakoo wababaishaji naombeni yeyote anayejua mtaalamu atakaye weza ku unlock anisaidie ikiwezekana na contact zake kabisa jamani msaada