Baada ya Chief mkwawa kutuwekea uzi unaoelezea smartphones zenye bei nafuu, nilishawishika kununua moto g japo haikutajwa kwenye orodha lakini nayo aliielezea pia. Leo katika katika pitapita kwenye maduka ya smartphones ndiyo nikaiona hi Droid razr. Razr specs zake ni kubwa ukilinganisha na Moto g. Kitu kilichonishutua ni bei maana inauzwa 330,000 wakati moto g inauzwa 400,000. Je kuna droid razy clone, hii chipset ya0TI OMAP 4430 ubora wake ukoje?