nokia akitengeneza dual core utaskia nokia kaisha anatumia specs za mwaka jana hana kioo full hd na maneno kibao haya maneno wanayasema waandishi wa habari wa kimarekani.
ila akitengeneza google na motorolla wake utaskia google anafocus kwenye day to day usage hawapo kwenye speca war
nshazoea maneno yao hata hii thread hainishtui.