Moto wazuka Hosteli za Mabibo

wanafunzi hawajapata boom wakale wapi? wanaamua kuchemsha chai na mkate.
 
Tanzania yetu tambarare watu wanashika viuno baada ya kuzima moto??polen kwa hasara mlizopata.
 
inabidi twende tukawape hifadhi hawa wahanga wa moto mabibo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…