Moto wawaka jengo la PPF Tower - Dar

Status
Not open for further replies.
One of the city's 'landmarks' is on fire and we are helpless.. Hii wizara inayohusika na 'moto' si inaongozwa na PhD? Wapi ubunifu..


Do you mean that std VII is more perfoming than those with docterate?
 

Nafikiri wewe unataka kuwajulisha watu tu kuwa unaishi ulaya, lakini siyo Hali halisi ya kiusalama katika mazingira yaliyoonyeshwa kwenye picha hizo. Ninakumbuka bahada ya jengo hili kujengwa idara ya fire walilalamika sana kuhusu vifaa vya kuokoa na kuzimia moto pindi ukuitokea kwenye jengo lefu Kama hili. Naona serikali iliziba masikio! This is a wake up call.
 
Utaratibu kuhusu ajali ya moto inapotokea popote iwe nyumbani au ofisisi kwako, Cha kwanza kufanya ni kutoka kwenye jengo/nyumba na kweda nje penye usalama kama ulivyo(bila kuokoa watu au mali zako), hata kama mwanao,mama yako mzazi au mkeo au pesa zako wamebaki ndani/vimebaki ndani huruhusiwi kurudi ndani wanaoruhusiwa ni zimamoto tu ambao wana ujuzi na vifaa vya kupambana na moto pia wanawataalamu wao wa huduma ya kwanza wenye vifaa maalumu na sio hao mgambo wanaoshangaa moto bila vifaa vya kujihami nikosa kufanya hivyo kwasababu anahatarisha maisha yake!
 
NI MAJENGO YOOTE yeyen FADHILA ya SERIKALI ya CHAMA cha CCM NDIO RAHISI KUUNGUA? Sababu HUMO NDANI wanaweka VIOFISI vidogo vya KIFISADI???

ETI BUNGE JIPYA KULE DODOMA - LINAVUJA na MAJI YA MVUA... Hakuna PESA za KUKARABATI; MKANDARASI YUKO WAPI? HAWAKUSIGN a BUILDING LIFE SPAN????
 
Mkuu kwa haraka na kuangalia hizo picha, naona moto umewaka juu kabisa ya jengo zilipofungwa BTS za makampuni ya simu ambazo kimfumo huwa zinakuwa na mfumo wa umeme...

Kwa hiyo hizo BTS haziwezi kufanyiwa hujuma mkuu?
 
 
 
6°48'51.85"s
39°17'23.56"e

Ha ha ha. That is very funny. Umenipa coordinates za PPF Tower za Google Earth.

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…