Moto waua watu 8 Mji Mkuu wa Ufilipino-Manila

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
1651494639199.png

Watu wanane wamefariki, wakiwemo watoto sita, na nyumba 80 kuharibiwa vibaya baada ya moto kuzuka kwenye makazi ya watu, karibu na mji mkuu wa Ufilipino Manila, Mei Mosi usiku

Moto huo ambao hadi sasa chanzo chake hakijajulikana, inaelezwa ulianzia kwenye ghorofa ya pili ya nyumba katika makazi yenye watu wengi ndani ya chuo Chuo Kikuu cha Ufilipino, katika Jiji la Quezon.

Taarifa kutoka kwa Afisa mkuu wa zima moto mjini humo, Greg Bichayda zinasema kwamba ilichukua karibu saa mbili kuzima moto huo.

=================

Eight people have died, including six children, after a fire tore through scores of homes near the Philippines capital Manila, local officials have said.

The blaze, which started around 05:00 local time on Monday (22:00 BST on Sunday), also destroyed 80 homes.

It started on the second floor of a house in a crowded settlement inside the sprawling campus of the University of the Philippines, in Quezon City.

The cause of the blaze is unknown.

Senior fire officer Greg Bichayda told AFP news agency that it took nearly two hours to extinguish the blaze.

Source: CNN
 
Back
Top Bottom