Wewe ndo huelewi kichwa kigumu.Hata mimi nikilaani ndoa, hilo halimaanishi ndoa ni mbaya, huelewi wapi?
Kuna ugumu gani kuelewa kuwa kuna watu hawapendi mpira, lakini hilo halimaanishi mpira ni mbaya?
Kwa nini mnataka kulazimisha dunia nzima ifikiri kama mnavyofikiri nyie, bila kutambua kuwa kuna watu wako tofauti na nyie?
Hiyo ndoa ni mbaya dunia nzima unataka kusema?
Maana inawezekana ndoa ni mbaya hapo mlipo nyie, na nyie hamna uwezo wa kuondoka hapo, na kwa hiyo hili ni tatizo la nyie kuweza kuondoka hapo mlipo, si tatizo la ndoa.
Sielewi nini?Wewe ndo huelewi kichwa kigumu.
Hakuna mahala nimesema ndoa ni mbaya na hakuna mahala mtoa post ameandika ndoa ni mbaya, ni kiranga chako tu na ugumu wa fuvu lako, watu wengi wanasema ndoa zimepoteza taswira yake kwasababu ya tamaa za mwili na pesa, wengine wanasema ndoa ni mbaya pengine kwa kutomaanisha ulivyomaanisha wewe, Ndoa ni neno na uwajibikaji halisi wa maana ya neno ndoa ndo msingi wa hoja yenyewe.Hata mimi nikilaani ndoa, hilo halimaanishi ndoa ni mbaya, huelewi wapi?
Kuna ugumu gani kuelewa kuwa kuna watu hawapendi mpira, lakini hilo halimaanishi mpira ni mbaya?
Kwa nini mnataka kulazimisha dunia nzima ifikiri kama mnavyofikiri nyie, bila kutambua kuwa kuna watu wako tofauti na nyie?
Hiyo ndoa ni mbaya dunia nzima unataka kusema?
Maana inawezekana ndoa ni mbaya hapo mlipo nyie, na nyie hamna uwezo wa kuondoka hapo, na kwa hiyo hili ni tatizo la nyie kuweza kuondoka hapo mlipo, si tatizo la ndoa.
Hakuna mahala nimesema ndoa ni mbaya na hakuna mahala mtoa post ameandika ndoa ni mbaya, ni kiranga chako tu na ugumu wa fuvu lako, watu wengi wanasema ndoa zimepoteza taswira yake kwasababu ya tamaa za mwili na pesa, wengine wanasema ndoa ni mbaya pengine kwa kutomaanisha ulivyomaanisha wewe, Ndoa ni neno na uwajibikaji halisi wa maana ya neno ndoa ndo msingi wa hoja yenyewe.
Sijui huelewi wapi, ndo shida ya kuwa mpagani, ukilaani ndoa haimaanishi unalaani neno, ila unalaani upotovu wa maana halisi ya neno, nikisema 90% haikuwa hivyo mwanzo, pengine ilikuwa 2% zama za akina plato na labda pengine siyo 90% tena kwa zama hizi, pengine ni 96% kwa hiyo ni gradually falldown.
Wakati sahihi ukifika utaelewa tu mkuu, mdogomdogo ndo mwendo.
Hii ni sysmptoms ya tatizo la Afya ya Akili ni dalili sio kwamba una hiyo shida . Watanzania wengi wanaonesha hizi symptoms bila ya kujua ina translate mental capacity zao and psychological muscles 💪Ndoa ni janga linalolitesa dunia.hapa ni maafa tupu hakuna jema.ndoa ni laana tupu hamn jipya.
Nazidi kukataa ndoa daima.utapel huu siutaki.
utakifundisha vp kizazi kilichoamua kuuza migongo na kupigwa miti.?Ifike kipindi ambao ndoa zenu zinawaendea poa na nyie muanze kushusha sredi, okoeni kizazi kijacho cha JF binafsi siamini kama ndoa ni mbaya kiasi cha kuita moto wa dunia
Vifo sioni kama ni sababu, tunazaliwa mpaka tunafikia miaka hii ya kidigitali wanandoa wamekuwa wakiuana. Nafikiri utandawazi na uchumi unawaweka mbali vijana na ndoa.Na Vifo vya kuuana wanandoa ndio vijana wanazidi kukimbia
Una hoja mkuu, jamii imewapa nafasi watu wanaolisha taarifa mbaya. Tutafika ingawaa kwa kuchoka, ukisema turudi kwenye misingi ya kiafrika, wasomi wanakushukia jumla jumlautakifundisha vp kizazi kilichoamua kuuza migongo na kupigwa miti.?
Huu ni ushetani na moja ya Traps za Shetani ni kuwavuta watu kidogo kidogo kuanza kukataa na kuamini kuwa kuishi na Mwanamke katika misingi halali aliyoiweka Mungu kuwa ni ubatili.
Hii ni step ndogo ambayo kizazi hiki kitaona ni sahihi ila vizazi vijavyo vitaamua sasa kuliko kuishi na mwanamke ndani bora waishi wanaume kwa wanaume ndani ili wavunjane migongo wao kwa wao.
Kaa,tulia kisha tafakari utayaona haya niliyoyaelezea hapa
Nilikua naangalia clip Moja south Africa watu na wake zao ukiwaangalia wale wa baba na wamama utajifunza kitu, mambo yakikugomea wewe haimanishi na wengine yamegoma leo hii tunalalamika Hali mbaya ya maisha mtu anaagiza gari la bilioni 2 tena ni mtu tu wa kawaida alafu unamuuliza anacheka anajibu mbona kawaida mkuu, Kuna watu ndoa zinawaendea poa na Kuna watu zimewagomea.Kuna watu wamezipatia mkuu,Mizani ipo kwa mkao sawa
Hapa mkuu umenenalabda uko katika jamii ya kuwindana sana
Una miaka mingapiNdoa ni janga linalolitesa dunia.hapa ni maafa tupu hakuna jema.ndoa ni laana tupu hamn jipya.
Nazidi kukataa ndoa daima.utapel huu siutaki.
Ni kweli kabisa....Ukiona ndoa imetulia basi kuna mmoja hatumii akili
HakikaNilikua naangalia clip Moja south Africa watu na wake zao ukiwaangalia wale wa baba na wamama utajifunza kitu, mambo yakikugomea wewe haimanishi na wengine yamegoma leo hii tunalalamika Hali mbaya ya maisha mtu anaagiza gari la bilioni 2 tena ni mtu tu wa kawaida alafu unamuuliza anacheka anajibu mbona kawaida mkuu, Kuna watu ndoa zinawaendea poa na Kuna watu zimewagomea.