chanzo cha moto ni nn mkuu?
Taarifa zilizopatikana wakati huu zinaeleza kuwa Moto mkubwa umeteketeza kituo cha mafuta cha Mbagala Kokoto area,nyumba kadhaa pamoja na baa vimeteketea,
Kasema kituo cha mafuta. Ninaamini kama ndivyo itakuwa ni mafuta yaliyokuwa yamehifadhiwa humo
Waswahili bwana. Umeona moto unawake badala ya kushiriki katika kuuzima ili usisambae kwa kasi wewe unakimbilia kisimu chako na kuingia humu jf kuandika kama unafukuzwa. Au unajiona kidume kuwa wa kwanza kuripoti hilo tukio

Poleni sana waasirika wa tukio hilo la moto huko mbagara
watz kama kawa utakuta wamekibilia kuchota mafuta, bado hatujifunzi tu ya Isongole Mbeya
Kituo cha mafuta ya kula au mafuta ya kupaka mwili kaka au mafuta ya kutia kwenye bunduki?
chanzo cha moto ni nn mkuu?
we ni mrundi? ulisomeaga wapi kiswahil? WAATHIRIKA sio WAASIRIKA.