MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,314
- 25,456
Mbona hayafanani?Moderator tunaomba hii account ifungiwe maana inatuchanganya inafanana na ya Lucas Mwashambwa
Ibenge mtamu sana ukimpiga chuma 3 na CHADEMA watamu sana ukiwapangia wabunge wa kuingia Bungeni.
Wacha unoko wewe fungia ya kwako kwanza.Moderator tunaomba hii account ifungiwe maana inatuchanganya inafanana na ya Lucas Mwashambwa
Hata Lucas mwashamba ni jina lake halisi na mimj ndiye baba yake wa ubatizo, kaa kwa kutulia kunguni Lucas Mwashambwa apelekewe moto.Hamna user name inayofanana na hii hapa jf. Kumbuka hii ya kwangu ni fake lakini ya Lucas Mwashambwa ni jina lake kamili na alishajitambulisha kuwa ni jina lake kabisa
Wewe inakupunguzia niniModerator tunaomba hii account ifungiwe maana inatuchanganya inafanana na ya Lucas Mwashambwa
Kama wa Mwashambwa
HahahaMkuu
😄Waifunge kwanini? Amesema kwenye thread yake kua hayo ni majina yake, ulitaka atumie majina feki?
HahahahAngalao macho yako yatapumzika sasa😎
View attachment 3426162
Ahahah dah watu mna hasira sio mchezoHata Lucas mwashamba ni jina lake halisi na mimj ndiye baba yake wa ubatizo, kaa kwa kutulia kunguni Lucas Mwashambwa apelekewe moto.
Slogan ya kijinga kabisa
Kwa wapumbavu modeli yako wewe kwa wenye akili hii ni ya kijanja sanaSlogan ya kijinga kabisa
Chawa wa Mbozi ana ujinga mwingi sanaAhahah dah watu mna hasira sio mchezo
Lini umetoka katika upumbavu na kuwa na hakili ,utukome, tunasema ,sie wapenzi wa chama cha chadema ,hata kife na kianze upya tupo na chama, kama akili imekurudi ,anza kuomba msamaha pitia hapa jf, vinginevyo tuliza kalio
Kwanini ifungiwe? Acha mambo ya ajabu. Tumechoshwa na mashudu ya Lucas Mwashambwa, sasa huyu Lucas mwashamba amekuja kufuta upuuzi wa huyo mwingine. By the way, na mimi nataka nijiite LUCAS MASHAMBA ili uzidi kuchanganyikiwa. Chawa wa Mama BUDULI nyie!Moderator tunaomba hii account ifungiwe maana inatuchanganya inafanana na ya Lucas Mwashambwa
Wenda kweli mkuu, ila hawa sio wa kuombea kifo ,wanatakiwa wawepo ili washuhudie nguvu ya Mungu na hali mpya ya Taifa hili ijayoMwashambwa halisi katwaliwa na iziraili usiku wa kua.mkia jana
Siku hizi Lucas Mwashambwa anabubujikwa na haja kubwa tuHuyu sio yule mbubujikwa machozi...
Ndio utamu wa Jf huu, kila mtu yupo huru kuchagua jina lake mladi sio tusi.Moderator tunaomba hii account ifungiwe maana inatuchanganya inafanana na ya Lucas Mwashambwa