Rodrick Mushi
Member
- Jan 24, 2014
- 27
- 10
CHUO cha taaluma ya Polisi Moshi kimeendeleakuandamwa na Majanga ambapo moja ya vyumba kwenye jengo la Zahanati ya chuohicho kimetekea kwa moto masaa machache baada ya kuteketea kwa Ghala lakuhifadhia vifaa mbalimbali vya Chuo hapo.
Chumba kilichoteketea kwa moto ni chumba maalumu kilichotengwa kwa ajili ya mapumziko kwa wagonjwa,ambapo matukiohayo yalipishana masaa machache wakati wanafunzi wakiendelea kuzima moto kwenyeGhala lililokuwa likiteketea kwa Moto.
Mkuu wa chuo hicho kamishana msaidizimwanadamizi (SACP)Mantanga Mbushi anasema kuwa moto kwenyeZahanati hiyo ulitokea muda sawia na ule ulioteketeza Ghala hilo,huku akisemahakuna madhara yoyote yalitokea kwa binadamu.
Chumba kilichoungua kwenye Zahanati hiyo kilikuwakimeandaliwa maalumu kwa ajili ya mapumzikokwa maofisa watakao kuwa na matatizo ya kiafya ambao wanataraji kukutana chuoni hapo wiki ijayo kwaajili ya mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wa ngazi za juu wa Polisi.
Kuhusu uharibufu wa jana kwenye Ghala liloteketea kwa moto alisema moto huo ulitokana na hitilafu ya umeme, ilianziakatika nguzo iliyokuwa jirani na jengo hilo na kisha kusambaa katika nyanya zinazoingia katika ghala hilo.
Moto wa Ghala ulioanza jana saa 9:00 ulifanikiwa kuzimwa saa10:30 huku ukiteketeza vitu kama sare za akiba zawanafunzi vikiwamo viatu,mikanda na kofia na kwamba thamani halisi ya vitu vilivyoungua badohaijafahamika .
Tukio la Zahanati hiyo kuwaka moto limefanya matukio ya moto kwenye Chuo hichokifikia matukio matatu sasa baada ya tukio la kwanzala moto kama huo kuteketeza jengo lililokuwalikitumiwa na askari polisi ambao hawajaoa,motoulioteketeza mali zote za askari hao.