Moto mabibo hostel

Yaelekea upo karibu,unaweza kutupa chanzo cha moto huo?
 
Nakumbuka enzi zangu shuleni,tuliunguza shule bila kutegemea kwa tabia ya kuchemsha maji kwa vijiko badala ya electric heaters hadi leo ni siri yetu.
 
Hivi maeneo ya Mabibo na Ubungo kuna zimamoto, au wanasubiri wafike wale wa kutoka Upanga?
 
Umedhibitiwa tayari chanzo ambacho hakijathibitishwa kinasema ni shoti ya umeme
 
Nakumbuka enzi zangu shuleni,tuliunguza shule bila kutegemea kwa tabia ya kuchemsha maji kwa vijiko badala ya electric heaters hadi leo ni siri yetu.

Mimi najua kuwa mlikuwa mnachemsha maji kwa vijiko! Nimejuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…