windows8.1
Member
- Apr 10, 2014
- 15
- 0
poleni na kazi! ninataka kununua simu aina ya moto G2 lakini sijapata sehemu wanapoiuza simu hii hapa mwanza .Kwa yeyote anayefahamu namna gani naweza kuipata simu hii naomba anifahamishe.
Kariakoo zipo, bei ni 420,000.