Motivation Speaker wanakera Sana siku hizi

Introvert22

Member
Joined
Jan 7, 2022
Posts
7
Reaction score
14
Yaani imekuwa Ni zaidi ya kero! Tena siku hizi wanauza vitabu kwa soft copy.

Mara utasikia njoo kwenye mafunzo kwa njia ya WhatsApp kwa mwezi elfu kumi.

Mara ooh wengine Ni watengeneza rogo za biashara utasikia elfu 20.

Yani siku hizi ukiona motivation speaker anatuma ujumbe Fulani ujue mwisho Kuna Biashara... Yani wamekuwa wauza vitabu kwa ujanja ujanja.

Vitabu vyenyewe wanakopy na kupast hakuna original message.

Waige wenzetu... Wao wananza kufanya motivation baada ya kufanikiwa. Sio wewe unanifunza kuhusu fedha halafu unauza kitabu 2500 aibu.
 
Kuna mwalimu wangu wa university aliwahi kutuambia Kuna rafiki anamiliki hoteli 4stars Alianza kwa mahindi ya kuchoma 😭😭
 
Yaani imekuwa Ni zaidi ya kero! Tena siku hizi wanauza vitabu kwa soft copy..

Mara utasikia njoo kwenye mafunzo kwa njia ya WhatsApp kwa mwezi elfu kumi..

Mara ooh wengine Ni watengeneza rogo za biashara utasikia elfu 20.

Yani siku hizi ukiona motivation speaker anatuma ujumbe Fulani ujue mwisho Kuna Biashara... Yani wamekuwa wauza vitabu kwa ujanja ujanja..

Vitabu vyenyewe wanakopy na kupast hakuna original message..

Waige wenzetu... Wao wananza kufanya motivation baada ya kufanikiwa... Sio wewe unanifunza kuhusu fedha alafu unauza kitabu 2500 aibu

Wewe tatizo lako ni gani ??
 
Hawa jamaa mnawaoneaga tu.. ila muhimu sana katika jamii zetu hizi za kaangalie unga jikoni kama unachemka... waacheni banah
 
Yaani imekuwa Ni zaidi ya kero! Tena siku hizi wanauza vitabu kwa soft copy.

Mara utasikia njoo kwenye mafunzo kwa njia ya WhatsApp kwa mwezi elfu kumi.

Mara ooh wengine Ni watengeneza rogo za biashara utasikia elfu 20.

Yani siku hizi ukiona motivation speaker anatuma ujumbe Fulani ujue mwisho Kuna Biashara... Yani wamekuwa wauza vitabu kwa ujanja ujanja.

Vitabu vyenyewe wanakopy na kupast hakuna original message.

Waige wenzetu... Wao wananza kufanya motivation baada ya kufanikiwa. Sio wewe unanifunza kuhusu fedha halafu unauza kitabu 2500 aibu.
Unataka utengenezewe logo ya biashara kwa shingi ngapi? Jero?
Sijui kwanini watu hamthamini kazi za watu. Mtu anakutengenezea identity ya biashara wewe unachukulia poa tu
 
Wajinga ndio waliwao.
 
Mimi nilianza na manyoya now namiliki kuku 100
 
Rogo - Logo.
Rogo = 20,000
Logo no 60k Min Hadi 1M+ inategemea.

Haia uhusiano nawakina mativoshono
 
Unataka utengenezewe logo ya biashara kwa shingi ngapi? Jero?
Sijui kwanini watu hamthamini kazi za watu. Mtu anakutengenezea identity ya biashara wewe unachukulia poa tu
Shida ni pale wanapotulazimisha! Kama nikihitaji nikamfata lazima nilipe lkn siyo anifate na kunilazimisha. Wamekuwa kero.
 
Back
Top Bottom