Hata Kama Bado Ebu Mshawishi Vinginevyo HatakomaAna smart phone sitashangaa
Best hizi nyumba zetu mipango inatazamana. Watoto wa mjini wanaita ‘Face me I face you’ hayo ya umbea tena tumezoea ukiwa na danga bora ulipeleke guest. Hapa home utahesabiwa hata usiowakumbuka.Hahaha besti unanikumbusha mbali sana kwenye nyumba za kupanga Chuga na zilivyodizainiwa U au L. Umbea uliokithiri, kupigana juju, mashindano ya kijingajinga yani ukioga mchana unaulizwa unakwenda wapi?
Ukiwa na kauwezo mwenye nyumba anakupapatikia na kukushobokea
Ila ukiwa na nyumba yako una amani. Sisi waswahili tukichanganyikana ni hatariii
Nilikwambia mlishe kitimoto siku moja ukabisha. Akila kitimoto pepo/jini la kupiga vibomu litamtoka...Hapa kwenye nyumba Huku kwetu Kwamtogole tupo wapangaji nane. Watano vyumba vya ndani na watatu vyumba vya uani. Nyumba ina maji na umeme na iko karibu na barara kubwa. Mama mwenye nyumba anaishi katika moja ya vyumba vya ndani.
Huyu mama anaomba kuanzia mchuzi mpaka vitafunio vya chai. Alikua unapika kuku ataleta bakuli. Huwa hapendi wale wapangaji wa kula mboga za majani. Ukiwa wa bamia na matembele kamwe hutaona bakuli lake.
Vituko vimehamia kwenye manukato na pochi. Anakuja kukutembelea chumbani akiona perfume nzuri hiyo imetoa. Siku hizi ameanza kuazima pochi akienda shughulini. Kama ni pochi ya jina kubwa isahau tena.
Mama tumekuchoka wapangaji wako.
Kitimoto Ina addiction mbaya sana, mtashangaa Kila siku anataka, halafu ana shauri tutafute Na Konyagi.Tutapewa notice mchana kweupe
Nilikwambia mlishe kitimoto siku moja ukabisha. Akila kitimoto pepo/jini la kupiga vibomu litamtoka...
Weeee! Kumbe nimeshapewa mjengo?!
Ahahahahah am happy
Kumbe hayo mambo yapo hadi mikoani!Hahaha besti unanikumbusha mbali sana kwenye nyumba za kupanga Chuga na zilivyodizainiwa U au L. Umbea uliokithiri, kupigana juju, mashindano ya kijingajinga yani ukioga mchana unaulizwa unakwenda wapi?
Ukiwa na kauwezo mwenye nyumba anakupapatikia na kukushobokea
Ila ukiwa na nyumba yako una amani. Sisi waswahili tukichanganyikana ni hatariii