EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
- Thread starter
- #21
Ukisoma vizuri utagundua vigezo vilivyoandikwa ni vya muonekano na sio tabia
Hv mtu anavyokufuata kwa mara ya kwanza ww unajua kua ni mkweli yani hadi usimkatae?! Au wakweli wana alama usoni