Hili linafuliwaje na anayelifua ni nani? Kumbe India ni waaminifu na wana maadili sana pamoja na kwamba wengi wao hawafuati dini tunazo amini zinafundisha maadili! Ingekuwa hapa Bongo, Policcm wangesha pita nalo na kudai walikosea kwa kudhani ni jambazi!