Mossad kamwe haitawahi kumuua Sinwar

Angeonjaa hii wasingemwonaa wala.kumwuuuaaa ndioo hirizizetyu hizi
 

Attachments

  • Screenshot_20240311_133144_Instagram Lite.jpg
    323.4 KB · Views: 18
  • 2021-06-02.jpg
    42.4 KB · Views: 19
  • 2023-06-11.jpg
    30 KB · Views: 21
 
Nauliza tu Kwa sababu naona Wayahudi wanauwa viongozi wa Hamas, Hezbollah na Iran kama hawana Akili nzuri

Nadhani sasa wamebaki Wawili tu Ayatollah Ali Khamenei na Qasma wa Hezbollah

Mlale Unono 😀
Waonjee hiii kama watakamatwa ngrooongroò ulinzitoshhaa nawapasiri weka mifupayake mlangoni hatasehtan haptic...na dirishani paka na kitunguuswaumu
 

Attachments

  • Screenshot_20240311_133144_Instagram Lite.jpg
    323.4 KB · Views: 17
  • 2021-06-02.jpg
    42.4 KB · Views: 16
Huyu ndio kafa kifala sana,maana mpaka maiti yake Israel wameondoka nayo. Hii maiti Israel itaitumia kama bargaining power ya kurudisha mateka.
Hawataenda kumchukua watamwacha huko huko,sidhani kama mateka hao wapo hai maana inawezekana vipi viongozi wanatangulia mbele ya haki na mateka hawapatikani,hao inawezekana wameshaua mateka day one , sidhani kama mateka wapo hai
 
Kama ujala kitimoto leooo
kwa hikitangazoo agiza wine nakujakulipa
"𝘠𝘢𝘩𝘺𝘦𝘳 𝘚𝘪𝘯𝘸𝘢𝘳 𝘸𝘢𝘴 𝘢𝘯 𝘪𝘯𝘴𝘶𝘳𝘮𝘰𝘶𝘯𝘵𝘢𝘣𝘭𝘦 𝘰𝘣𝘴𝘵𝘢𝘤𝘭𝘦 𝘵𝘰 𝘢𝘤𝘩𝘪𝘦𝘷𝘪𝘯𝘨 𝘢𝘭𝘭 𝘰𝘧 𝘵𝘩𝘰𝘴𝘦 𝘨𝘰𝘢𝘭𝘴. 𝘛𝘩𝘢𝘵 𝘰𝘣𝘴𝘵𝘢𝘤𝘭𝘦 𝘯𝘰 𝘭𝘰𝘯𝘨𝘦𝘳 𝘦𝘹𝘪𝘴𝘵𝘴. 𝘉𝘶𝘵 𝘮𝘶𝘤𝘩 𝘸𝘰𝘳𝘬 𝘳𝘦𝘮𝘢𝘪𝘯𝘴 𝘣𝘦𝘧𝘰𝘳𝘦 𝘶𝘴"

Hakika mwamba alikuwa msumbufu sana
 
Aisee
 
Hebu rudia tena.
 
Naamini sasa hivi unaona aibu kwa and iko lako hilo,Sinwar kufa lilikuwa suala la muda tu
 
MOhamed Sinwar nae walikula kichwa? Hawa Israel mashetani sana wanazuia watu kula wapuuzi sana...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…