Moshi wa bangi ukeni

Hakuna thread nyingine kama hii niliyocheka tangu nijiunge humu jamiiforums.Mtoa mada na wachangia mada mmenichekesha kwa kweli.
 
Hukujiamini tu shem ukaona ni bwawa, ila ukweli ndio huo.

Tatizo watu wanabishania vitu wasivyokuwa na expirience navyo mfano mwanaume unabishaniaje saiz ya dhakari,au mwanamke kubishana kuwa hakuna mabwawa ili hali we huna kijiti cha kuweza kuditamain hyo kitu,mabwawa yapo n mnato upo,na mm ni shuhud wa hilo
 
Hahahaha Nimeishi tanga sana hasa kipindi cha masomo wakati nipo pale tanga tech secnd skul, hili kwangu sio geni na nikweli wanawake wanatumia hii sana,hususani mabinti wa kitanga ila wengi wao wanatumia ule moshi wa udi wanainama wakiwa wamejifunika mwili mzima wakiweka uke karibu na moshi,nia na malengo nikuufanya uke uwe mdogo wengine wanasema wanairudisha bikra😁😁😁,
 
Tuongeeni facts, kuvuta bangi ni ule moshi. sasa moshi huo naupelekaje kwenye maku, mbona hivi? nilishawahi kuja hapa na uzi nikiongelea kitchen party za Bongo zinavyopelekea ndoa nyingi kuporomoka. Wengi waliona mimi mshamba.

Inakuwaje watu hawazai? Mungu nisaidie nisikwaza mtu humu ila tujiulize sana nini chanzo? Most of them wamelaaniwa kwa mambo waliyofanya huko nyuma nyie mnapeleka hela kwa dk mwaka aendelee kununua mavogue.
 
Wanawake siku hiizii!
Maridadi saanaa maridadi saanaa maridadi saanaa.

Lipstick mdomoni, moshi kwenye papuchii! Maridadi saaanaa! Maridadi saaanaa! Maridadi saaanaa.

heheheh umenkumbusha mbali huu wimbo
 
Mmmmh sasa kibamia kitaona mnato kweli? Alafu uache uzinifu.
 
Mkuu kweli ? Duuuuuh
 
Mkuu kweli ? Duuuuuh

Ni kweli kabisa mkuu,haya mambo yapo na kweli uke una-shrink yani unataiti,hata hivyo kipindi kile wakati nipo tanga nilikuwa siwaelewi kabisa watoto wakitanga nilijuwa ni swaga zao, siunajuwa wanasifika kwa mahaba,
 
Hata mimi mkuu nlipata kukaa na kusoma TA pale galanos.

Kweli hao viumbe wakitanga wanajua. mi najua tu wanapenda kufukiza manukato au marashi mazuri.

Na mara nyingi pia hutumia udi, daah kumbe huu udi wanaupeleka paka kwenye papuchi....khaaaaaaa
 
😁😁😁 kumbe ulikuwa galanosi mkuu ahahah pale,tanga nouma sana we isikie tu nilishachezea ada kwasababu ya vi-papuchi vyao,
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…