mchwa mpaka
Member
- Nov 18, 2009
- 35
- 70
Sheria ya sasa ukikutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya iwe Mirungi, Cocaine, Heroin, Bangi kifungo chake ni maisha jelaHukumu haziendani na makosa siasa tu!
Mirungi na jela maisha????
Dar watu walikutwa na cocain wakalipa fine 10M and walk free!!
Kifungo cha nje mkuuUkisafirisha kuku je?
Hapo kwenye Ganja ...watuache na mmea wetuSheria ya sasa ukikutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya iwe Mirungi, Cocaine, Heroin, Bangi kifungo chake ni maisha jela
Sheri ya kiboya sana hii.Sheria ya sasa ukikutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya iwe Mirungi, Cocaine, Heroin, Bangi kifungo chake ni maisha jela
Embu rudia kusoma sentesi yako vizuri...Hivi mirungi na bangi viko kwenye category ya madawa ya kulevya?? Au ni vilevi visivyoruhusiwa tu
Aisee, pole sana.Nakumbuka nilishawahi kupigwa laki kwa kesi ya kukutwa na picha tu za hio mirungi, nilikuwa na wana wanachanja wakapiga picha tukiwa geto flani.
The next day nikakumbana na wazee wa ngwasuma wakanityt wakaanza kupekua simu yangu na kukuta zile picha nikiwemo. Walikomaa niseme ile mirax nani ame supply nikawakataa maana ilikuwa msala af kipindi hiko napiga 3rd year wakaniambia tunakupeleka central na ushahidi upo so kwa huu msala huchomoki. Wakanirushia kwenye Cruiser lao.
Tukazozana we mwisho wakataka 200, walikuwa kama mtu 9 hivi wako full gwamba wana mikwasa kama yote nikaona nikifurukuta naweza nikapamba magazeti ya kesho. Nkawamegea 100 wakanitema ila nilipiga nao doria toka saa 5 mpaka saa 11 hivi jioni. Hio kitu siwezi sahau ilinitia stress sana.
Ukisafirisha kuku je?
Asante mkuu,safari ya maisha inamengiAisee, pole sana.