Moshi foleni ni noma

kweli Wachaga washamba sana yaani kila december lazima waende moshi. Nasikia na wenyewe siku hizi wanaua kama wakinga!
Tatizo lako wewe huwa huendi kwenu hadi ufwe usaafirishe maiti
 
kweli Wachaga washamba sana yaani kila december lazima waende moshi. Nasikia na wenyewe siku hizi wanaua kama wakinga!

yani wewe unatuona washamba kwenda kuona wazazi wetu we kweli chenga
 
Tumchangie nauli wakuu tumpeleke moshi akainjoi si unajua ule ukarimu wetu wa kukaribishana kwa mdomo hamna cha kadi muoneeni huruma labda katoka kwenye ule mkoa wenye kijiji usik u kinabadilika kinakuwa new york anaogopa kwenda kwao wasije mgeuza mamba karibu moshi nanii uje ule machalari
 
Kwenda moshi kila dec ni lazima labda Mwenye Enzi Mungu akatae.....
 
idadi ya watu imekua kubwa masokoni mfano wa kariakoo.jam za magar barabarani ndo majanga kwel hi ndio december

Huko Moshi ni wapi panaitwa Kariakoo? Sasa hapo kwenye heading umeandika "MOSHI FOLENI NOMA"
 
Foleni zimepungua kidogo dar asubuhi na JF pia. kumbe members wengi wameenda kuhesabiwa
 

Mkuu...Moshi ndio mpango mzima mwezi kama huu!
 
wanaona wivu wangu,wanataka tuwape kampan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…