pole, watoto kama wadogo msiwapeleke bording............. Shule zenyewe hizi zinajali pesa tu sio utu....
Pole sana
shule za kichagga hizo
Pole sana mwanangu. Ulikuwa huijua Moshi. Pesa babaangu. Rua!Nko hospital TMJ mwanangu kapakiwa leo kwenye basi la Kilimanjaro bila taarifa kwa wazazi.Ni bahati tu mlezi wake shule kuulizia kama mtoto wake alifika salaama maana kama sio yeye sijui ingekuwaje.Nimemkuta mwanangu stand analia na kutapika bila msaada wa matron wala kutumiwa sms kuwa mwanangu anakuja kutoka shule.
Ni aibu kubwa kwa shule kama Moshi Academy kufanya mambo ya kijinga mnathamini hela kuliko utu, kuweni na utaratibu mzuri wa kusafirisha watoto. Bag lake limepotea staki kuamin eti mlitangaza kwenye radio na tv mnafikiri watu wote wanaskiliza radio? na namba za simu tulijaza za nini?
Nko hospital TMJ mwanangu kapakiwa leo kwenye basi la Kilimanjaro bila taarifa kwa wazazi.Ni bahati tu mlezi wake shule kuulizia kama mtoto wake alifika salaama maana kama sio yeye sijui ingekuwaje.Nimemkuta mwanangu stand analia na kutapika bila msaada wa matron wala kutumiwa sms kuwa mwanangu anakuja kutoka shule.
Ni aibu kubwa kwa shule kama Moshi Academy kufanya mambo ya kijinga mnathamini hela kuliko utu, kuweni na utaratibu mzuri wa kusafirisha watoto. Bag lake limepotea staki kuamin eti mlitangaza kwenye radio na tv mnafikiri watu wote wanaskiliza radio? na namba za simu tulijaza za nini?
shule za kichagga hizo
Naungana na mdau alietoa mada. Binafsi jana niligeuka kuwa mlezi. Nilisafiri na KLM iliyotoka moshi saa 8:00 ambayo ndo ilikuwa na hao watoto. Nilikaa na mtoto mdogo kama miaka 5 au sita wa kike. Alikuwa anatapika sana, na nilijitahid kumpa care ya hali ya juu. Hata hela ya chakula njiani hawakupewa zaidi ya kalenda walizopewa. Huu ni unyanyasaji wa watoto. Niliumia sana
Yule mmiliki wa shule ni mbumbumbu sana, na hat ahizo shue kazipat akiujanjaujanja na anaendesha kiujanja ujanja kama kibaraka fulani wa watu fulani.Kila nikipita kuelekea arusha nikiangalia Northern Highlands school pale makaburini natamani kuipiga bomu.Nafikiria moto na possible ways za kuokoa watoto sioni.Jamaa kajenga ghorofa ndefu, ina ngazi nyembamba sana ktk panic wanafunzi hata watatu hawawezi pita.Hana ngazi ya nje kwa vile hakuwahi jiuliza what if moto unaanzia ghorofa za chini "ana helcopter za kuokoa?".Mbaya aliwahi jiua mwanafunzi mmoja, kwa kujitupa ghorofani ,kajamaa kwa ujinga kakatafuta quick fix kwa kuziba kila kitu kote na kuach access pekee kuwa vingazi vidogo na vichache kuserve floors zote.
huw anikiangalia ile shule nanchukia kabisa Pinda, Pinda kahudhuria sana mahafali ya kuhitimu wanafunzi pale na sijui kama issue ya security ili click ktk kichwa yake.
Sikuwa najua kwanini mambo yalikuwa hovyo sana shule za huyu jamaa hadi pale nilipoambiwa kajamaa kalikuwa failure fulani pale mawezi , halafu kaka bebwa na wakubwa zake,kilipopata deal ya shule ndipo kikjiweka ktk maisha kiliyo nayo.
Mara yangu ya kwanza ongea na haka kajamaa nilitaka tapika kalivyokuwa kakijishaua kw akutaja majina ya wakubwa na kuongea nao ktk staili ya wapiga debe wa CCM wakiwa mjini.Ile staili kila laiye karibu hata aisyetaka igilia privacy ya mtu asikie anaongea na nani.