Moses machali, Zitto Kabwe kakupoteza

Moses machali, Zitto Kabwe kakupoteza

Mssassou

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
1,537
Reaction score
597
Hatima yako ya kisiasa unaijua mwenyewe,Zitto Kabwe, kakulaghai ujiunge na ACT Wazalendo na hatimaye akupigie kampeni ili ushinde lakini umefeli.

Zitto alijiaminisha kuwa Kigoma yote ni yake kisiasa, pole sana Mosses Machali akili ya kuambiwa changanya na zako.
 
Na Kafulila, Wenje, Vicente, Mkosamali, nao wamedanganywa na Zitto?
kila mbunge aliyeshindwa kwenye uchaguzi IPO sababu iliyopelekea kushindwa kwake,kulingana na mleta mada kushindwa kwa mkosamali sababu ya msingi ni kupotoshwa na zitto.
 
ZITTO kairudisha KIGOMA chini ya himaya ya CCM..
Amefanikiwa sana kugawa kura za UPINZANI,ACT dhidi ya CCM.....
Kiama cha ZITTO kinakaribia na sasa hana cha kufanya ila ni kua kKIBARAKA wa CCM km alivyokua MREMA na CHEYO and lastly his part i mean ACT kitakufa kibudu km UDP na TLP....
R.I.P ACT
 
Namchukia Sana Zitto, hv mtu atapenyaje kuwa mbunge katikati ya miamba ya CHADEMA na ccm kupitia kachama kaduchu kama ACT? ogopa kitu chadema a political giant ever in tz since multpartism
 
NCCR mbona unakwepa
 
kila mbunge aliyeshindwa kwenye uchaguzi IPO sababu iliyopelekea kushindwa kwake,kulingana na mleta mada kushindwa kwa mkosamali sababu ya msingi ni kupotoshwa na zitto.
Naona wewe unajifanya unajua kila sababu za wabunge kushindwa haya anza kutufahamisha kushindwa kwa Mkosamali sababu ni zipi?
 
Namchukia Sana Zitto, hv mtu atapenyaje kuwa mbunge katikati ya miamba ya CHADEMA na ccm kupitia kachama kaduchu kama ACT? ogopa kitu chadema a political giant ever in tz since multpartism
Wewe mjinga sana unamchukia Zitto kwani unamlisha wachagaa bana.
 
Machemli Alipigwa Chini Kwenye Kura Za Maoni,hvo Ukerewe Iko Chini Ya Mkundi-Chadema,
 
Ufaham unachokiandika. Jaribu kuendelea kujifunza siasa kabla ya kupost mambo ya siasa
 
Hatima yako ya kisiasa unaijua mwenyewe,Zitto Kabwe, kakulaghai ujiunge na ACT Wazalendo na hatimaye akupigie kampeni ili ushinde lakini umefeli.

Zitto alijiaminisha kuwa Kigoma yote ni yake kisiasa, pole sana Mosses Machali akili ya kuambiwa changanya na zako.

Akili nyingi huondoa Maarifa, namsikitikia sana Mosses sijui alifuata nini ACT, kajimaliza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom