Morrison kaanza kuwavuruga Yanga

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
“Tulimpatia ratiba mapema kabla ya kujiunga alitakiwa kuifanya kwa ukamilifu lakini nimemuangalia naona Hakuifuata sawasawa ila atakuwa sawa,” Helmy Gueldich, Kocha wa viungo Yanga. [Mwanaspoti]

[emoji116]

 
Kuna Mawatu huwa hayajielewi kamwe! hata uyapige kama kenge lakini ndiyo hivyo tokana na asili ya tabia zao.
 
Tutaona kiwango chake tarehe 13 dhidi ya Simba tutajua alifuata ratiba au hakufuata uzuri wa Morrison ni mdau wa mitandao ya kijamii Kwaiyo taarifa hizi zinamfikia.
 
Tutaona kiwango chake tarehe 13 dhidi ya Simba tutajua alifuata ratiba au hakufuata uzuri wa Morrison ni mdau wa mitandao ya kijamii Kwaiyo taarifa hizi zinamfikia.
Sawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…