Kwa hiki kikosi cha Yanga cha msimu huu! Huyo Morrison ni tone tu la maji kwenye bahari!! Adhabu ya tatehe 23 Oktoba, itabakia palepale.Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imemfungia michezo mitatu na kumtoza faini ya Shilingi 1,000,000 mchezaji wa timu ya Yanga SC, Bernald Morrison kwa kumkanyaga kwa makusudi mchezaii wa Azam, Lusajo Mwaikenda aliyekuwa ameanguka chini wakati wa harakati za kugombea mpira.
Sasa ni rasmi ataukosa mchezo wa watani wa jadi Octoba 23, 2022.
Oooh! pole DadaTIMU KILA SIKU INAPIGWA FAINI WACHEZAJI WANAFUNGIWA MSEMAJI ANAFUNGIWA HII NI TIMU AU GENGE LA MAMA JEI AKA KABWILI FC [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji23][emoji2089][emoji23][emoji23][emoji91][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
+ Ambundo, FaridKwa hiki kikosi cha Yanga cha msimu huu! Huyo Morrison ni tone tu la maji kwenye bahari!! Adhabu ya tatehe 23 Oktoba, itabakia palepale.
Imagine hiyo nafasi yake anayocheza, tayari ina wachezaji wengine wasiopungua watatu!! Tuisila Kisinda, Denis Nkane, na Jesus Moloko!!
Kwa kifupi hakuna pengo, Morrison tunamuhitaji zaidi kwenye champions league, huko yupo huru.+ Ambundo, Farid
Unaandika ukiwa umekalia kiti kigumu siyo?TIMU KILA SIKU INAPIGWA FAINI WACHEZAJI WANAFUNGIWA MSEMAJI ANAFUNGIWA HII NI TIMU AU GENGE LA MAMA JEI AKA KABWILI FC [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji23][emoji2089][emoji23][emoji23][emoji91][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kosa analofanya mchezaji wa kigeni lina tofauti na la mzawa?Izi fine za milion Moja, wachezaji wetu wazawa wataweza kulipa? I
Kule hajasajiliwa lakini ujueKwa kifupi hakuna pengo, Morrison tunamuhitaji zaidi kwenye champions league, huko yupo huru.
mzawa fine itapungua.chezea tffIzi fine za milion Moja, wachezaji wetu wazawa wataweza kulipa? Isije ikawa unatoa adhabu kwania ya ku mkomoa Fulani kumbe una kundi kubwa la wachezaji wazawa ikiwatokea kosa kama ilo wakashindwa kulipa adhabu.
Kwa hiki kikosi cha Yanga cha msimu huu! Huyo Morrison ni tone tu la maji kwenye bahari!! Adhabu ya tatehe 23 Oktoba, itabakia palepale.
Imagine hiyo nafasi yake anayocheza, tayari ina wachezaji wengine wasiopungua watatu!! Tuisila Kisinda, Denis Nkane, na Jesus Moloko!!
Hii bahati mbaya kwenye kutoa mpira na Inonga hana tabia hii ila kwa Morison sio wa kumchekea tabia hii maana ni mtovu mkubwa wa nidhamu
Yanga inaingia kwenye makundi mapema tu, atatumika kuanzia stage ya makundi kuna dirisha dogo.Kule hajasajiliwa lakini ujue
We jamaa unachoongea unakijua au umekurupuka? Morrison hajasajiliwa kimataifa lini?? [emoji706][emoji706][emoji706]Kule hajasajiliwa lakini ujue
Nilishandika Uzi hapa. Morrison anapaswa kufukuzwa TZ. Mtashangaa anahamia singida utdKamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imemfungia michezo mitatu na kumtoza faini ya Shilingi 1,000,000 mchezaji wa timu ya Yanga SC, Bernald Morrison kwa kumkanyaga kwa makusudi mchezaii wa Azam, Lusajo Mwaikenda aliyekuwa ameanguka chini wakati wa harakati za kugombea mpira.
Sasa ni rasmi ataukosa mchezo wa watani wa jadi Octoba 23, 2022.
Dah.!!! Hapa Inonga alikusudia kuuwa mtu..!!
Unazungumziaje huyu mchezaji kukosa nidhamu ya mchezo kiasi cha timu kukosa huduma yake?Yanga inaingia kwenye makundi mapema tu, atatumika kuanzia stage ya makundi kuna dirisha dogo.
Sawa, tuone kama atakaa hata benchi mechi za Al HilalWe jamaa unachoongea unakijua au umekurupuka? Morrison hajasajiliwa kimataifa lini?? [emoji706][emoji706][emoji706]