Leo Tar 28 january magari ameanza kusimamishwa Ubungo intererchange....
Shida nimepita kwa mbinde mpaka mlandizi ni foleni .... magari yamesimamishwa kwa muda mrefu ....
Ulipata kisungura au maana huelewekiLeo Tar 28 january magari yameanza kusimamishwa Ubungo intererchange....
Shida sana nimepita kwa mbinde mpaka mlandizi ni foleni .... magari yamesimamishwa kwa muda mrefu ....
askari police napita chalinze now magari yamesimishwa kibao