MOROGORO: Mkuu wa Mkoa aagiza kukamatwa na kuswekwa rumande Diwani wa CHADEMA, ufisadi wahusishwa

Jan 15, 2017
50
64
Hilo limetokea leo kufuatia tuhuma za ufisadi wa fedha za mradi wa zahanati. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wkoa wa Morogoro Dr. Kebwe Stevin.

Chanzo: Star Tv - Habari
 
Umekimbizwa nini mkuu? Weka habari enye mantiki tupate kuelewa na tuchangie kwa tija
 
Huyu jirani tangu aule anajifanya taita sana, nikikumbuka miezi kadhaa alivyokuwa anasota kiasi kwamba watoto wanach
 
Hilo limetokea leo kufuatia tuhuma za ufisadi wa fedha za mradi wa zahanati. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wkoa wa Morogoro Dr. Kebwe Stevin.

Chanzo: Star Tv - Habari
Ngoja kwanza chali yangu spidi ya nini? Chukua glasi ya maji gonga kidogo kaa tulia alafu leta ripoti kamili spidi yote hiyo ya nini? Au kwa vile juzi yamezinduliwa mabasi ya mwendo kasi?
 
Hilo limetokea leo kufuatia tuhuma za ufisadi wa fedha za mradi wa zahanati. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wkoa wa Morogoro Dr. Kebwe Stevin.

Chanzo: Star Tv - Habari

Huko ni zaidi ya kukurupuka, kitaani huwa tunaita kihelehele, tuliza kipago lete habari kamili ili walio kosa nafasi ya kuingia kwenye tovuti ya star tv waweze kujuwa ni diwani wa kata gani na wilaya gani ya mkoa wa morogoro.
Hivyo ndivyo great thinkers tunavyofanya usiwe mburura.
 
Back
Top Bottom