Morogoro mjini 2015

Ndo nani huyo

Ni mvuta Bangi furani hivi anamvuto sana kwa vijana! mimi naamini anaweza kulichukua jimbo la Moro mjini kwa tiketi ya CDM lakini itakuwaje Bangi na hizo nywele?
 
Vipi shule yake? CDM hatunaga vilaza kama Prof.maji marefu, martha mrata, Chilolo n.k.
 
Mimi si shabiki wa carapase a.k.a CCM lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Abdulaziz Abood mbunge wa Morogoro mjini si muongeaji sana Bungeni lakini anajitahidi sana kuboresha huduma hapa jimboni kwake, kwa hivyo si dhani kabisa kabisa kama Afande Sele ananafasi hapa mjini labda ajipange kwanza kwenye udiwani wa kata ya Misufini sio Ubunge angojhe ngoje kwanza la si hivyo ataangukia pua, hii aliweza Sugu peke yake!
 
​cha msingi ni kuiondoa ccm hata tukiweka mbuzi lakini ccm iondoke
Ni mvuta Bangi furani hivi anamvuto sana kwa vijana! mimi naamini anaweza kulichukua jimbo la Moro mjini kwa tiketi ya CDM lakini itakuwaje Bangi na hizo nywele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…