Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Kumbe inaletwa Ikulu Tanzania na ndio wanamfanyia kampeni bi Tozo sio?😡Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwaajili ya kufanya Mkutano wa Kampeni kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025.
Sindano za Lisu zingemvuruga kabisa ndo maana wakaona wamfunge ili asiwaharibieMgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwaajili ya kufanya Mkutano wa Kampeni kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025.
Hawa vilaza wanagombania kuhutubia mkutano wa ccm? Hili kanisa ni tawi sawa na uvccm.Hapa Ngerengere kwenye mkutano wa kampeni
Askof Dr George Pindua wa Kanisa la KKKT ndio aliefanya maombi ya kufungua mkutano.
Na ndiye Askofu aliyealikwa
Lakini kuna Askofu aliyemaliza Muda wake Askofu Mameo nae ameonekana kwenye mkutano na akataka atambuliwe kama askofu wa jimbo na apewe nafasi ya kuongea na watu wa itifaki wakamfahamisha Askofu Mameo Kwamba Askof Pindua yupo na ndie aliyealikwa kufanya kazi hiyo lakin Askofu Mameo akaanza kutoa kauli ya kusema yeye hatakiwi anapendelewa askofu Pindua lakini kimsingi ndio mwenye haki na jimbo hili na amefanya jukumu lake
Bila Video ni uchochezi na uchonganishi wa maccmHawa vilaza wanagombania kuhutubia mkutano wa ccm? Hili kanisa ni tawi sawa na uvccm.
Tanzania Maaskofu ni wengi kuliko Mashehe na maimamuNaye apewe nafasi afunge mkutano kwa maombi au hata awasalimie wahudhuriaji hauoni alivovaa vizuri
Rc waligomea huu ujingaNaye apewe nafasi afunge mkutano kwa maombi au hata awasalimie wahudhuriaji hauoni alivovaa vizuri
Na wanachama mazombieBila
Mahakama
Msajili
Policcm
Tume na zile cables zetu
TISS na walimu wasiojielewa
Ccm haijiwezi huu ni ukweli mtupu
Unasomba wamachinga?
Waliojingishwa AKILI nao wakakubali sasa akili zimevia USAHA.Na wanachama mazombie
Umeme mdogo sana kumkichwaHuyu mgombea hamna kitu kwa head, yaani kabisa kwa nafasi yake anaongelea juu ya gharama za kutunza maiti mochwari, hv si vitu vya kuzungumzwa na naibu waziri?!.
Hana mradi mkubwa wa kitaifa hata mmoja ameahidi...duh nchi ina hasara kwa miaka mi5 mingine!!.