kidadari JF-Expert Member Jul 26, 2012 8,647 9,595 Apr 23, 2016 #1 Kama tujuavyo wengi tukisikia mji kasoro bahari wengi wetu tunajua ni Morogoro! Ila kwa ukweli mji wa Morogoro hauna hadhi ya kuitwa mji kasoro.
Kama tujuavyo wengi tukisikia mji kasoro bahari wengi wetu tunajua ni Morogoro! Ila kwa ukweli mji wa Morogoro hauna hadhi ya kuitwa mji kasoro.
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,229 116,840 Apr 23, 2016 #2 Nini maana ya mji? au unafikiri wamejiita jiji? wewe labda una tatizo la uelewa
Mkomavu JF-Expert Member Jan 25, 2016 11,753 16,776 Apr 23, 2016 #6 jingalao said: Wewe unezaliwa lini? Click to expand... Ata BRN hawezi kuwa kama mtoa post