morogoro 1 - 0 mwanza copa cocacola final.

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Timu ya morogoro imeweza kunyakua kombe la copa cocacola dhidi ya mwanza mchezo ulio fanyika kwenye uwanja wa karume dar es salaam. mfungaji bora amekuwa Mtalemwa katunzi kutoka moro na timu yenye nidhamu ni tanga na kocha bora ametoka tanga na kupata 1.5 mil na kocha kapata 1.5mil mchezaji bora ni chiza kichuya kutoka morogoro na kupata laki saba.
mshindi wa tatu ni temeke wamepata 3 mil. na mshindi wa nne ni tanga. mshindi wa pili ni mwanza. morogoro wametata kombe na 8mil.
 
Back
Top Bottom