Morocco imetwaa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani baada ya kuifunga Nigeria goli 4 kwa 0

Dr Kantangaze

Senior Member
Jul 3, 2014
124
79
9d3639f33582e8bb26d8399392bdb37d.jpg

Morocco imetwaa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN2018) baada ya kuibuka na ushindi wa goli 4-0 dhidi ya Nigeria katika mchezo wa fainali uliopigwa katika dimba la Stade Mohamed V Mjini Casablanca, Morocco.

Morocco imeweka historia kwa kuwa timu ya kwanza kuandaa na kushinda michuano hiyo ambayo imefanyika kwa mara ya 5 toka kuanzishwa kwake mwaka 2009 ikiwa inafanyika kila baada ya miaka miwili

Hii ndio mara ya kwanza kwa Morocco na Nigeria kufika katika hatua ya fainali ya michuano hii.

Nigeria ‘Super Eagles’ ilifanikiwa kufika fainali baada ya kuwafunga Sudan kwa bao 1-0 katika nusu fainali.

Wenyeji wa mashindano hayo Morocco wenyewe walifika fainali baada ya kuiilifunga Libya mabao 3-1

Timu nyingine zilizowahi kushinda michuano hiyo ni DR Congo (2009 na 2016), Tunisia (2011) na Libya (2014)

======

Nigeria’s quest for a maiden African Nations Championship title will wait for another two years after the home-based Super Eagles lost on Sunday night to Morroco.

The Super Eagles lost four goals to nil against Morocco in the final of the tournament which was played in Casablanca city, Morroco.

Zakaria Hadraf put Morocco ahead in the 45th minute. Walid El Karti doubled Morocco’s lead on 61 minutes before Zakaria Hadraf scored his second of the game three minutes later.

Tournament top scorer, Ayoub El Kaabi iced the victory for the hosts with his 9th goal of the competition in the 73rd minute sealing a maiden title for the hosts.

The Super Eagles played the majority of the second half with 10 men after peter Eneji was sent off for a second bookable offence three minutes after the restart.
 
Morocco wamepiga ball sio mchezo. Zingefika hata 10 jamaa wapo vizuri sana na hawakutumia nguvu. Hope watafanya vizuri nchini urussi. Nawaombea kila la heri na tim zote kwa ujumla.
 
Morocco wamepiga ball sio mchezo. Zingefika hata 10 jamaa wapo vizuri sana na hawakutumia nguvu. Hope watafanya vizuri nchini urussi. Nawaombea kila la heri na tim zote kwa ujumla.
usije kuta hawa sio watakaoenda urusi, watajaa ma pro tupu
Morocco wamepiga ball sio mchezo. Zingefika hata 10 jamaa wapo vizuri sana na hawakutumia nguvu. Hope watafanya vizuri nchini urussi. Nawaombea kila la heri na tim zote kwa ujumla.
 
Morocco wamepiga ball sio mchezo. Zingefika hata 10 jamaa wapo vizuri sana na hawakutumia nguvu. Hope watafanya vizuri nchini urussi. Nawaombea kila la heri na tim zote kwa ujumla.
Raja Casablanca mabingwa wa Caf confederation ,klabu zao 2 zilifika semi final caf

Inshort morocco vilabu vyao vinafanya vizuri kimataifa hivyo ilikuwa wazi wangeshinda tena kushinda kiukweli kweli

Hongera msuva ameenda ligi sahihi
 
Kabisa kiongozi wangu.
 
Back
Top Bottom