Morocco Hackers Again! Je Tu-retaliate?

That was a crosssite script hack by script kiddies.Only affected..possibly index html or php.......th3...r34l..h4ck3rs..wite th3ir.c0d3...dont loose sleep over turkish or moroccan scriptkiddies...we g0t bigger things to do..hapa..b0ng0..🙂))
 
yani tuache hao scriptkiddies watambe eti kisa tuna vitu vikubwa, jino kwa jino ndo mpango
 
Kama website admin hajui ku check vulnerabilities na serikali haichukui kama muhimu cybersecurity...hakuna prof3ssional atasaidia.
 
Kama website admin hajui ku check vulnerabilities na serikali haichukui kama muhimu cybersecurity...hakuna prof3ssional atasaidia.

Cheki hata website ya wizara ya viwanda na biashara nayo imekuwa hacked!!
 
Attachments

  • a02b9de90e6b0b3bd9fd2ade3a4ade93.jpg
    28.9 KB · Views: 29
wamorocco tumewafanya nini? mbona wanatuandama sana
 
wamoroko wap wakati kuna watu wamejua kidogo ndo wanafanya exersice
 
Hakuna noma ni mwendelezo wa yale matusi ya bungeni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…