Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 815
Wawape watu able kufanya hii kazi ya web.Nimefungua, nimeona hiyo hacked by mr. spam lakini sijaona matusi. Labda utuambie ni page gani?
Propaganda majitaka!
Propaganda majitaka!
Tatizo IT's wa serikali wamelala tu, kila kazi ni kutoa tender na kugawana 10%
Hacked by Mr. Spam Aka X-mar root go secure your ass mtf!!!n
Moroccan Hackers was here UnderfireSecurity Specoal thanks
GovAttacker
youssef-pac@hotmail.com
unasema propoganda wakati mie nimefungua sasa hivi nimekutana na hayo maneno kwenye home page..!! Wakati mwingine chai kavu mnasababisha mpaka sie ambao hatupendi madudu yenu tuonekane wapumbavu..! umekaririshwa eeh..!
websites,?we plan more attacks on critical infastructures,periament site is vuln,
Leo ndiyo umegundua hilo???