Moro na Dodoma Ngome kuu za CCM

Moro na Dodoma Ngome kuu za CCM

Tatizo elimu ya siasa hatuna ndo maana wakiona mkutano una watu wengi wanajua tayal wameishapiga kura, mwananchi anatakiwa kufika kwenye mkutano na kusikiliza sera za wagombea ili wachague chaguo sahihi, sasa sie tukiona watu wengi ndo tunajua ushindi tayal, bdo siku chache tujue jibu
 
Back
Top Bottom