Moro na Dodoma Ngome kuu za CCM

Moro na Dodoma Ngome kuu za CCM

lonyorengai

Member
Joined
May 12, 2008
Posts
71
Reaction score
35
UKAWA hawatapata kitu mikoa miwill tajwa hapo juu. Ndio ngome za mwisho za CCM
 
Eti eheeee? kwahiyo tumwapishe Lowassa?
 
UKAWA hawatapata kitu mikoa miwill tajwa hapo juu. Ndio ngome za mwisho za CCM
Usijidanganye Mkuu, ukweli usiopingika ni kuwa Taifa zima la Tanzania hivi sasa tayari linaelekea kupata ukombozi kamili toka kwa magamba ifikapo Oktoba 25.

Kama imekombolewa kwa kishindo kikuu ngome yao kuu yaTanga hadi kusababisha watu kadhaa kuzimia mkutanoni, then it is more easier kuzikomboa Moro na Dodoma kutoka kwenye himaya ya Sisiem.
 
Acheni siasa za maji taka huu ni uchaguzi usione watu wengi kwenye mikutano ukaisi mtashinda mfano tanga ni vigeugeu utaona magufuli atakavya shinda tanga hamta amini vimacho vyenu ccm wana makundi ya watu kila sehemu ya nchi
 
ukawa inabidi wakaze buti na pia kuwaelimisha watu kuwa kelele hazichagui rais bali kura za kutiki kwa kalamu pekeyake
 
Usijidanganye Mkuu, ukweli usiopingika ni kuwa Taifa zima la Tanzania hivi sasa tayari linaelekea kupata ukombozi kamili toka kwa magamba ifikapo Oktoba 25.

Kama imekombolewa kwa kishindo kikuu ngome yao kuu yaTanga hadi kusababisha watu kadhaa kuzimia mkutanoni, then it is more easier kuzikomboa Moro na Dodoma kutoka kwenye himaya ya Sisiem.

Kiongozi!

Usisahau Muheza na Korogwe nao washaziona PEPO kama sio wokovu.
 
Acheni siasa za maji taka huu ni uchaguzi usione watu wengi kwenye mikutano ukaisi mtashinda mfano tanga ni vigeugeu utaona magufuli atakavya shinda tanga hamta amini vimacho vyenu ccm wana makundi ya watu kila sehemu ya nchi

Yaelekea umemrithi Yahya! Siye tunaishi Tanga. Ungefahamu kinacho endelea kwenye uongozi wa maeneo yetu, usinge andika uliyo andika. Uliza mara ya mwisho kikao cha madiwani kilikaa lini? Uliza huko vitongojini uongozi ukoje? Ukisha yajua hayo, basi uwe mtabiri wa kitakacho tokea 25/10/2015.
 
CCM waendelee na kiburi chao cha kutojali raia wanaowategemea kuwapigia kura,pia waendelee na matusi yao wakitegemea wana ngome.Suppose tukisema wote NO pamoja na kodi zetu wanazotumia na kutuhonga[pesa walizoibia watz ndo zawapa kibri] wataendapi? Sema watz wengi hatuna shule na waliosoma wengi wapenda starehe hivyo ni wavivu wa kufikiri na kutoa maamuzi magumu.
 
Hata Mimi nipo Dom kesho ntaenda kwenye mkutano wa magufuli. Kusikiliza burudani pia kuona mtazamo wa watu juu ya magufuli. Kura yangu kwa lowasa. Sio kila anaenda kwenye mikutano hasa ya ccm kwamba atawapigia kura. Dom imebadilika Sana.
 
Tanga inanikumbusha siku ukuta wa Berlin ulivyoporomoka.
Hatimaye ukombozi wa mtanzania unakuja.
 
Back
Top Bottom