mzee ukishachubuka tu basi ujue ngoma unayo, ila unaweza kumla demu mwenye ngoma na usipate kama ulimwandaa freshi akawa ana maji mengi na hakuna mchubuko uliotokea , ila still unaweza kupata hata kama no mchubuko kama huyo demu ana virus count kubwa sana, yani ana virusi vingi hapo jiesabie tu maumivu baba mjomba